Discover

Topics

Ufugaji na Matibabu&Veterinary Care

Ufugaji na Matibabu&Veterinary Care APK

Ufugaji na Matibabu&Veterinary Care APK

1.5.8 FreeMshindo Media ⇣ Download APK (5.50 MB)

Ijue Mifugo yako kwa kujifunza Ufugaji na Matibabu kupitia simu yako kiganjani.

What's Ufugaji na Matibabu&Veterinary Care APK?

Ufugaji na Matibabu&Veterinary Care is a app for Android, It's developed by Mshindo Media author.
First released on google play in 5 years ago and latest version released in 2 months ago.
This app has 45.5K download times on Google play
This product is an app in Productivity category. More infomartion of Ufugaji na Matibabu&Veterinary Care on google play
Hii ni App maalum kwa ajili ya kutoa mafunzo juu ya ufugaji na matibabu kwa njia ya mtandao. Tumejikita katika kutoa mafunzo kuhusu wanyama kama vile Kuku, Ng'ombe, Mbuzi, Sungura na wengineo.

Pamoja na App hii pia tuna Group letu la WhatsApp, hapa utajiunga kwa kupiga namba hii 0762 799 080 kisha utapewa maelekezo zaidi.

Pia App yetu ipo sambamba na Website yetu maalum inayoitwa MshindoVeterinaryCentre.com. Utakua na uwanja mpana wa kujifunza na kutoa maoni na maswali kupitia sehemu ya Comments.

Zaidi ya yote tunakukaribisha Ujifunze, Uelimike katika ufugaji wenye tija kibiashara.

Mawasiliano.
Email: [email protected]
WhatsApp: 0762 799 080
Website:
https://www.mshindoveterinarycentre.com

NB. Ukiwa na mahitaji ya kutengenezewa Android App, Blog na Website.
Wasiliana nasi kupitia mawasiliano yaliyotajwa hapo juu.