Discover

Topics

Ubongo Kids - Hesabu za Panya

Ubongo Kids - Hesabu za Panya APK

Ubongo Kids - Hesabu za Panya APK

1.2.1 FreeUbongo ⇣ Download APK (19.34 MB)

Msaidie Kibena kuhamisha panya kwa kujiunga nae kwenye kitabu hiki cha maajabu!

What's Ubongo Kids - Hesabu za Panya APK?

Ubongo Kids - Hesabu za Panya is a app for Android, It's developed by Ubongo author.
First released on google play in 8 years ago and latest version released in 7 years ago.
This app has 0 download times on Google play and rated as 4.19 stars with 837 rated times.
This product is an app in Education category. More infomartion of Ubongo Kids - Hesabu za Panya on google play
Tumia ubongo wako kumsaidia Kibena kuwahamisha panya kwa kushirikiana nae kwenye kitabu hiki cha maajabu! Hadithi hii iliyoko kwenye kitabu hiki cha maajabu imetoka kwenye kipindi maarufu cha “Heka Heka za Panya”.
Utapata nafasi ya kusoma hadithi mwenyewe ama kusomewa. Tumia ubongo wako kufikiria na kufumbua mafumbo mbalimbali ili uweze kupata fursa ya kufungua ukurasa wa kitabu unaofuatia. Ila hakikisha kuwa husahau panya yeyote njiani! Kitabu hiki ni BURE kabisa, hutahitajika kulipia chochote mwanzo hadi mwisho.


JIFUNZE:
-Thamani za namba
-Kujumlisha
-Kutoa
-Kusoma

Umeiona AKILI’S ALPHABET - app MPYA toka UBONGO?
Ahsante kwa kupakua Ubongo Kids - Hesabu za Panya. Tunakukaribisha ujaribu “Akili’s Alphabet” - app yetu mpya ya BURE inayoelimisha watoto wenye umri wa miaka 3 hadi 6.

Mtoto wako atajifunza sauti za herufi kupitia app hii kutoka kwa waandaaji wa kipindi akipendacho cha Akili and Me. Atafurahi na Akili na marafiki huku akisikiliza herufi zinavyotamkwa na kuzifananisha kwenye simu.

"Akili's Alphabet" itamwezesha mtoto wako ajifunze lugha ya pili, huku akicheza na kusikiliza nyimbo alizozizoea kutoka kwenye kipindi cha Akili and Me. Tafuta tu "Akili's Alphabet" hapa Google Play, na utaipata mara moja.

KUHUSU UBONGO:
Ubongo ni kampuni ya kijamii iliyopo nchini Tanzania ambayo imedhamiria kuwawezesha wanafunzi kujifunza na kufurahia kujifunza kupitia njia za kidigitali zinazoendana na mazingira halisi ya Afrika. Kipindi chetu cha Ubongo Kids kinazifikia zaidi ya familia 2.8 milioni kila wiki katika nchi za Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, na Ghana na kuwawezesha wanafunzi kujifunza Hisabati na Sayansi.