Discover

Topics

Tenzi Za Rohoni

Tenzi Za Rohoni APK

Tenzi Za Rohoni APK

2 . 1 . 8 FreeAwesomecode Tanzania ⇣ Download APK (7.83 MB)

kitabu kinachojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 161 za kumuabudu na kumtukuza Mungu.

What's Tenzi Za Rohoni APK?

Tenzi Za Rohoni is a app for Android, It's developed by Awesomecode Tanzania author.
First released on google play in 3 years ago and latest version released in 4 months ago.
This app has 694.7K download times on Google play and rated as 5.00 stars with 2,387 rated times.
This product is an app in Books & Reference category. More infomartion of Tenzi Za Rohoni on google play
Tenzi za Rohoni ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 161 kutoka katika kitabu cha Tenzi Za Rohoni kwa lugha ya Kiswahili.
Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote.

Sifa za program ni kama zifuatazo:-

• Inahusisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa
neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa Kiswahili, kwa kiingereza au maneno
yaliyo ndani ya wimbo.

• Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata
kwa urahisi wakati mwingine, pia unaweza kuuondoa pale unapoona inafaa.


• Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti (thanks to hymnserve.com for
the accompaniments).

• Inakuwezesha kucheza ala hata ukiwa haupo kwenye programu

• Inakuwezesha kuona wimbo unaocheza ala ukiwa kwenye nyimbo zingine.

• Inakuwezesha kuona wimbo uliofungua mara ya mwisho kwa kuuangaza.

• Inakuwezesha kukuza ukubwa wa maandishi wa maneno ya wimbo kadri unavyoona
inafaa.


• Inakuwezesha kushiriki maneno ya wimbo na ndugu jamaa na marafiki kwa urahisi.

• Inakuwezesha kubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingira ya
Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumiza macho.