Discover

Topics

Mafundisho Ya Biblia Takatifu

Mafundisho Ya Biblia Takatifu APK

Mafundisho Ya Biblia Takatifu APK

1.0 FreeDiraJumla ⇣ Download APK (10.55 MB)

Pata Mafundisho Ya Biblia Taktifu Kwa Urahisi Zaidi

What's Mafundisho Ya Biblia Takatifu APK?

Mafundisho Ya Biblia Takatifu is a app for Android, It's developed by DiraJumla author.
First released on google play in 1 year ago and latest version released in 1 year ago.
This app has 65 download times on Google play
This product is an app in Books & Reference category. More infomartion of Mafundisho Ya Biblia Takatifu on google play
Mafundisho ya Biblia, ni App inayokupa msingi wa mafundisho mbalimbali ya biblia takatifu kwa lugha ya kiswahili. Kupitia App hii utajifunza masomo kama theolojia, Ufafanuzi wa kina juu ya mwongozo wa kujifunza biblia kupitia Agano jipya pamoja na Agano la Kale.
Pia utapata habari mbalimbali za nini kinaendelea katika Ulimwengu wa Dini ya kiristo. Kupitia App hii utapata mafundisho ya biblia kutokana na vitabu hivi.

Mwanzo ( Kitabu cha Kwanza cha Musa)
Kutoka (Kitabu cha Pili cha Musa)
Walawi (Kitabu cha Tatu cha Musa)
Hesabu (Kitabu cha Nne cha Musa)
Kumbukumbu la Sheria (Kumbukumbu la Torati; Kitabu cha Tano cha Musa)
Yoshua
Waamuzi
Ruthu (Kitabu cha Ruthi)
Samueli I
Samueli II
Wafalme I
Wafalme II
Mambo ya Nyakati I
Mambo ya Nyakati II
Ezra (Ezr)
Nehemia (Kitabu cha Pili cha Ezra)
Esta

Vitabu vya hekima

Yobu (Kitabu cha Ayubu)
Zaburi
Methali
Mhubiri
Wimbo Ulio Bora
Maombolezo (Maombolezo ya Yeremia)

Vitabu vya kinabii

Isaya (Isa)
Yeremia (Yer)
Ezekieli (Eze)
Danieli (Dan)
Hosea (Hos)
Yoeli (Yoe)
Amosi (Amo)
Obadia (Oba)
Yona (Yon)
Mika (Mik)
Nahumu (Nah)
Habakuki (Hab)
Sefania (Sef)
Hagai (Hag)
Zekaria (Zek)
Malaki (Mal)

Mathayo
Marko
Luka
Yohane
Matendo
Waroma
Wakorintho 1
Wakorintho 2
Wagalatia
Waefeso
Wafilipi
Wakolosai
Wathesalonike 1
Wathesalonike 2
Timotheo 1
Timotheo 2
Tito
Filemoni
Waebrania
Yakobo
Petro 1
Petro 2
Yohane 1
Yohane 2
Yohane 3
Yuda
Ufunuo
Agano