Discover

Topics

Dala Ujenzi

Dala Ujenzi APK

Dala Ujenzi APK

1.2.0 Freedala ⇣ Download APK (27.12 MB)

Jenga nyumba ya malengo yako sasa kwa kulipa 12.5% ya gharama ya nyumba.

What's Dala Ujenzi APK?

Dala Ujenzi is a app for Android, It's developed by dala author.
First released on google play in 3 months ago and latest version released in 3 days ago.
This app has 253 download times on Google play
This product is an app in House & Home category. More infomartion of Dala Ujenzi on google play
Jenga nyumba ya malengo yako sasa kwa kulipa 12.5% ya gharama ya nyumba. Pia fanya ukarabati wa nyumba au malizia ujenzi kwa kulipa 1 mil tu na gharama inayobaki utalipa mpaka kwa miaka 20.

UJENZI WA NYUMBA
Ukilipa 12.5% ya gharama ya ujenzi wa nyumba, unajengewa kuanzia msingi mpaka finnishing alafu utalipa kiasi kilichobaki mpaka kwa miaka 20.

-Chukulia mfano wa nyumba inayo gharimu 50,000,000 /=.

*Nyumba inayogharimu 50,000,000/= utajengewa kuanzia msingi mpaka finishing ukilipa 6,250,000/= sawasawa na 12.5% ya gharama ya ujenzi.

*Utalipa 250,000/= sawa sawa na 0.53% ya gharama ya ujenzi kila mwezi kwa miezi 24, au utalipa garama yote kwa pamoja.

*Baada ya kukamilisha malipo ya 6,250,000/= tutakuongezea 43,000,000/= ili kutimiza gharama za ujenzi ambazo ni 50,000,000/= na utajengewa nyumba kuanzia msingi mpaka finishing, na ujenzi ukiisha utahamia kwenye nyumba yako.

*Ukishahamia kwenye nyumba yako ndipo utakapo lipa 43,750,000/= ulioongezewa kwaajili ya ujenzi wa nyumba yako kidogo kidogo kwa mda wa mpaka miaka 25 au utalipa kwa mkupuo.

*Tutakusaidia kuuza nyumba yako pamoja na deni lililobaki kwa ndani ya siku 90, ambapo utarudishiwa pesa uliyotumia kununua kiwanja na ujenzi, pamoja na faida.

UKARABATI WA NYUMBA
Fanya ukarabati, ongeza vyumba, badili mwonekano wa nyumba, na malizia ujenzi. Kwa ukarabati unao gharimu 20 mil mpaka 1 bil, ukilipa 1 mil, tunakufanyia ukarabati alafu gharama iliyobaki utalipa kwa miaka 20.

*Kiasi cha milioni 1 (Dar es Salaam) mpaka milioni 1 na nusu (kwa mkoani), utalipa kwaajili ya huduma ya ukarabati. Gharama iyo itahusisha sisi kutembelea nyumba yako inayoitaji ukarabati, kutengeneza mchoro na mpango wa ukarabati kama itahitajika.

*Lipa 1 mil/ 1.5 mil kidogo kidogo kwa mda wa mpaka mwaka mmoja, au lipa kwa mkupuo.

*Baada ya kufanya malipo ya 1 mil/ 1.5 mil, na kupata mpango wa ukarabati, tutakuongezea kuanzia 20 mil mpaka 1 bil kulingana na mahitaji ya ukarabati wa nyumba yako.

*Baada ya ukarabati kukamilika, utalipa kiasi ulichoongezewa kwaajili ya ukarabati kidogo kidogo kwa muda wa mpaka miaka 25 au utalipa kwa mkupuo.